Wimbo wa Jerusalem umechagukliwa kuwa wimbo ya injili nambari moja nchini Uingereza, katika kura iliyosimamiwa na BBC ambapo uma uliruhusiwa kuchagua nyimbo bora zaidi kati ya 100 ambazo huchezwa sana ...
Muziki wa injili barani Afrika na duniani kwa ujumla unaendelea kubadilika na kuwa na vionjo vipya tofauti na miaka iliyopita. Waimbaji wengi hutunga tungo zao kwa kuzingatia maisha halisi na hata ...
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.