Vikosi vya usalama vya Urusi hivi karibuni vimewakamata viongozi kadhaa wa dini ya Kiislamu na wanaharakati kadhaa wa kijamii. Vyombo vya habari vya serikali havijaripoti habari hizo, lakini ...
Nchini Uturuki yaonesha kuna mushkili mkubwa baina ya serekali ya Ki-Conservative yenye kuelemea itikadi za Kiislamu ya Chama cha Haki na Maendeleo, AKP, na jeshi la nchi hiyo. Jeshi limenyosha kidole ...
Katika hotuba yake kwa viongozi wa Kiarabu na Kiislamu waliokusanyika katika mji mkuu wa Saudia, Bw. Raisi pia amezitaka nchi za Kiislamu "kuwapa silaha Wapalestina" ikiwa "mashambulio yataendelea" ...
Siku ya Jumamosi (21.06.2025), kumefunguliwa mjini Istanbul mkutano wa siku mbili wa Jumuiya ya Ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu (OIC), unaofanyika katika muktadha wa mzozo unaoendelea kati ya Iran ...