Mkalimani katika mbuga ya wanyama pori nchini Tanzania amekamatwa baada ya kutafsiri visivyo matamshi ya mtalii mmoja kuhusu nchi na watu wake. Kwenye video iliyosambazwa kwa wingi, mkalimani huyo ...
Mkalimani anayedaiwa kutafsiri maneno yasiyo sahihi kutoka kwa mmoja wa watalii aliyetembea hifadhi ya Ngorongoro, hatimaye ameibuka na kuomba radhi kutokana na video hiyo iliyosambaa kwa madai kuwa ...
Serikali ya Afrika Kusini imetakiwa kumchunguza kwa kina Mkalimani wa lugha ya ishara anayedaiwa kupotosha umma kwa kutumia alama za uongo kutafsiri walichokisema viongozi mbalimbali wa dunia wakati ...
Miili ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa raia wa Marekani na Sweden pamoja na mkalimani wao kutoka Kongo, imepatakana katika mkoa wa Kasai ya kati, watu hao walikuwa wakichunguza vurugu za karibuni ...