MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea magonjwa kutokana na hali ya baridi na upepo inayotarajiwa katika msimu wa kipupwe kuanzia mwezi Juni mpaka Agosti mwaka huu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amesema jumuiya hiyo inapinga kauli ya maseneta wa Bunge la Marekani waliodai Tanzania si salama na kuna udini ...
KURIPOTIWA kwa matukio ya utekaji na mauaji ya kila mara katika maeneo mbalimbali nchini yanaleta hali ya wasiwasi na amani iliyozoeleka imeanza kuingia doa. Tanzania inasifika duniani kuwa ni nchi ya ...
WACHINJAJI wanaokabiliwa na tatizo la ugonjwa wa homa ya ini wamepigwa marufuku kushiriki shughuli za uchinjaji Zanzibar kuelekea sikukuu ya Eid al-Adha, ambako zaidi ya wanyama 5,000 wanatarajiwa ...
SITISHO la mapigano kati ya Marekani na Iran limekuwa hatarini baada ya Marekani kusema imekamata meli ya mizigo ya Iran iliyojaribu kuvunja vizuizi vyake, huku Tehran ikiapa kulipiza kisasi huku ...
Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeanzisha huduma mpya inayowawezesha wananchi kununua na kuuza hisa kwa njia ya mtandao wa simu, hatua inayotarajiwa kuongeza ushiriki wa wananchi katika ...
Wananchi wa Dar es Salaam wanatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa kampeni maalum ya kitaifa ya Muungano Caravan yenye lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa Muungano wa Tanzania, kuhamasisha uzalendo, ...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka vijana wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara kuyakataa maandamano yanayoitishwa na baadhi ya ...