MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea magonjwa kutokana na hali ya baridi na upepo inayotarajiwa katika msimu wa kipupwe kuanzia mwezi Juni mpaka Agosti mwaka huu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amesema jumuiya hiyo inapinga kauli ya maseneta wa Bunge la Marekani waliodai Tanzania si salama na kuna udini ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...
Wananchi wa Dar es Salaam wanatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa kampeni maalum ya kitaifa ya Muungano Caravan yenye lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa Muungano wa Tanzania, kuhamasisha uzalendo, ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kitaendelea kusimamia haki na kutetea wananchi wa Tanzania dhidi ya vitendo vinavyodaiwa kuwakandamiza wananchi. Akizungumza leo, Mei 17, 2026, ...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), imesema haiungi mkono pendekezo la kuundwa kwa chombo kingine cha kijinai kushughulikia masuala yaliyobainishwa katika taarifa ya Tume ya Jaji Chande kuhusu ...
WAKULIMA wa Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, Wilaya ya Iringa, wameanza kunufaika na matokeo ya matumizi ya kilimo hai baada ya kuongeza uzalishaji wa mazao na kupunguza gharama za uzalishaji kwa ...