Kanisa la Mlima wa Moto la Mikocheni jijini Dar es Salaam, limeendelea kuenzi kazi nzuri zilizokuwa zikifanywa na mwasisi wake Hayati Askofu Dk. Getrude Rwakatare ikiwemo kuombea amani ya nchi na ...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekipongeza Chuo cha Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) kilichopo Wilaya ya Bagamoyo, kwa kuendelea kuwa kitovu muhimu cha mafunzo ...
WANAWAKE na mabinti ni miongoni mwa abiria wa mabasi ya umma wanaokumbana na vitendo vya udhalilishaji katika usafiri huo unaojaa kero za kila aina. Mojawapo ni kubanana kupindukia, kuibiana, ...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ismail Ussi, ametoa wito kwa wananchi kuendeleza amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Ussi aliyasema hayo ...
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umetoa wito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za masomo ya shahada ya uzamili kwa mwaka wa masomo 2026/27 nchini humo, kupitia ufadhili unaotolewa na Taasisi ya ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amesema jumuiya hiyo inapinga kauli ya maseneta wa Bunge la Marekani waliodai Tanzania si salama na kuna udini ...
WACHINJAJI wanaokabiliwa na tatizo la ugonjwa wa homa ya ini wamepigwa marufuku kushiriki shughuli za uchinjaji Zanzibar kuelekea sikukuu ya Eid al-Adha, ambako zaidi ya wanyama 5,000 wanatarajiwa ...
MUSWADA wa marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024, umependekeza kuongeza kosa na adhabu ya rushwa katika uchaguzi, michezo, michezo ya kubahatisha na burudani. Lengo la ...
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea magonjwa kutokana na hali ya baridi na upepo inayotarajiwa katika msimu wa kipupwe kuanzia mwezi Juni mpaka Agosti mwaka huu.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kitaendelea kusimamia haki na kutetea wananchi wa Tanzania dhidi ya vitendo vinavyodaiwa kuwakandamiza wananchi. Akizungumza leo, Mei 17, 2026, ...
WIKI hii Jumamosi Aprili 26, ni kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao ndio umetupa Tanzania. Tanganyika na Zanzibar ziliungana Aprili 26 mwaka 1964, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results